Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu

Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu



Faida za kiafya za kitunguu thaumu

  1. ina chembechembe za salfa ambazo ni dawa kubwa kwa afya ya mtu
  2. Kuna virutubisho kama vitamini C na vitamini B6, pia madini ya manganese
  3. Hupunguza usingizi
  4. Hupambana na mafua
  5. Hushusha presha ya damu
  6. Huboresha afya ya moyo
  7. Huborsha afya ya ubongo na kuondoa tatizo la kusahausahau
  8. Huondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini
  9. Huboresha afya ya mifupa


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 624

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana:

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume.

Tatizo la nguvu za kiume linawwza kuzuiliwa ama kupunguzwa kwa kutumia muunganimo wa njiankadhaa kama kubaduki vyakula, kutumia dawa, kupata ushauri kwa wataalamu wa afya ya mahusiano ama kufanya nazoezi. Je na wewe unasumbuliwa na tatizo hili? Makala hii

Soma Zaidi...
Faida za kunywa maziwa

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kunywa maziwa kiafya

Soma Zaidi...
Faida za kula papai

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai

Soma Zaidi...
Faida za kula limao

Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo

Soma Zaidi...
Madhara ya vyakula vya kisasa

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa na kuwekwa kwenye maduka

Soma Zaidi...
Lishe salama kwa mjamzito

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito

Soma Zaidi...
utaratibu wa lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

Soma Zaidi...