Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango
Faida za tango
1. Tango Lina virutubisho Kama vile fati, protini, vitamin C na K pia madini ya manganese na magnesium
2. Huondoa kemikali na sumu ndani ya vyakula
3. Husaidia kuipa maji miili yetu
4. Husaidia kupunguza uzito
5. Hushusha kiwango cha sukari mwilini
6. Husaidia katika kupata choo vizuri
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mchaichai
Soma Zaidi...Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika miili yetu?. makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza mengi kuhusu somo hili.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...