Faida za kiafya za kula Fenesi

Faida za kiafya za kula Fenesi

Faida za kiafya za kula Fenesi



Faida za kiafya za kula fenesi

  1. lina virutubisho vingi kama vitamini A, na C, pia kuna wanga
  2. Huimarisha mfumo wa kinga
  3. Ni chakula kinachotia nguvu
  4. Huboresha afya ya moyo na mishipa ya damu na kuthibiti presha
  5. Huzuai kukosa choo
  6. Huzuia mwili dhidi ya kupata saratani
  7. Huboresha afya ya macho
  8. Husaidia kuimarish afya ya mifupa
  9. Husaidia kuzuia pumu
  10. Ni zuri kwa afya ya ngozi


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2370

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 ai web app     👉5 web hosting     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi

Posti hii inahusu zaidi kazi ya majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi, pamoja na kutibu saratani mbalimbali na upambana na fangasi na bakteria kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...
Ni nini maana ya mlo kamili?

Mlo kamili ni mkusanyiko kuu wa vyakula mbalimba kwa pamoja huimarisha na kuujenga  mwili wa binadamu na wanyama kwa sababu vinaleta virutubishi vyote vinavyohitajika.  Mkusanyiko wa vyakula vinavyotengeneza mlo kamili Kuna majina ya vyakula

Soma Zaidi...
Sio salama kwa mtoto wa umri chini ya mwaka mmoja kupewa asali

Kwa nini hutakiwi kumpa mtoto wa umri wa chini ya mwaka mmoja kumpa asali?

Soma Zaidi...
UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Faida za kula nanasi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mwenye kisukari

Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari

Soma Zaidi...