Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye madini kwa wingi
VYAKULA VYA MADINI KWA WINGI
Madini ni katika virutubisho ambavyo huhitajika katika kuhakikisha kuwa mwili unabakia kati aafya njema.mwili unahitaji madini kwa ajili ya kuimarisha afya ya moyo, mishia, misuli na maeneo mengine ya mwili. Madini tunaweza kuyapata kutoka kwenye vyakula tunavyokula kama mboga za majani, nyama, matunda na nafaka zingine. Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika miili yetu?. makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza mengi kuhusu somo hili.
Kabla ya kuona vyakula hivyo kwanza ningepata kukujuza kazi kuu za virutubisho vya madini kwenye miili yetu. Madini yamegawanyika katika aina kuu mbili kuna ambayo yanahitaji
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 web hosting 👉4 ai web app 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...