Faida za kiafya za kula Pera

Faida za kiafya za kula PeraFaida z kiafya za pera

  1. husaidia kushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  2. Husaidia kuimarisha afya ya moyo
  3. Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo la chango kwa wakinamama
  4. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  5. Husaidia katika kupunguza uzito
  6. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
  7. Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  8. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya ngozi


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 91


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-