Faida za kiafya za kula magimbi

Faida za kiafya za kula magimbiFaida za kiafya za magimbi (taro root)

  1. magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati
  2. Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari hufanya isipande
  3. Hupunguza kasi ya mmeng’enyo wa chakula
  4. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo na mishipa ya dmau
  5. Magimbi yana chembeche,mbe ambazo hulinda mwili dhidi ya saratani kwa kuuwa seli za saratani
  6. Husaidia katika kupunguza uzito
  7. Huboresha afya ya utumbo
  8. Hulinda mwili dhidi ya mashambulizi


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 505


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-