Faida za kiafya za kitunguu maji
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu maji
. Faida za kitunguu maji (onion)
1. kitunguu kina virutubisho kama vitamini C, B9 na B6 pia madini kama potassium
2. Hulinda afya ya moyo
3. Hushusha presha ya damu
4. Hulinda mwili dhidi ya kisukari, saratani na maradhi ya moyo
5. Husaidia katika kuzuia saratani kusambaa maeneo mengine ya mwili
6. Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu na hii ni muhimu hasa kwa watu wenye type2 diabetes
7. Huboresha afya ya mifupa na kuifanya iwe imara na madhubuti
8. Huimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya maambukizi ya bakteria
9. Huboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 ai web app 👉3 web hosting 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
VYANZO VYA VYAKULA VYA VITAMINI NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako
Soma Zaidi...Faida za kula ukwaju
Uchachu wa ukwaju, ndio ubora wake, kuna virutubisho vingi kwa kula ukwaju, soma makala hii
Soma Zaidi...