Faida za kiafya za kula maboga

Faida za kiafya za kula mabogaFaida za kiafya za kula maboga

  1. boga lina virutubisho kama vitamini A, C, E na B. pia kuna madini ya chuma, potassium na manganessium. Pia boga lini protini na fati.
  2. Boga lin antioxidanti ambazo huondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini
  3. Boga husaidia kuimarisha na kuboresha mfumo wa kinga
  4. Husaidia kwa afya ya macho
  5. Husaidia kupunguza uzito
  6. Hupunguza athari ya kupata saratani
  7. Husaidia katika kuimarisha afya ya moyo
  8. Boga husaidia kuboresha afya ya ngozi
  9. Hupunguza kuganda kwa choo


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 212


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-