Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi
Faida za ndizi
1. Ndizi Ni chanzo kizuri cha vitamini C na B6
2. Ndizi Ni nzuri kwa afya ya ngozi
3. Madini ya potassium yaliyopo kwenye ndizi husaidia kuboresha afya ya moyo na presha ya damu
4. Husaidia katika kuboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
5. Ndizi humpatia mlaji nguvu
6. Ndizi Ina virutubisho vingine Kama protini, fati na madini
7.hudhibiti kiwango cha sukari mwilini
8. Huondoa sumu za vyakula mwilini
9.hutumika katika kudhibiti uzito mwilini
10. Husaidia katika kuimarisha afya ya figo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya
Soma Zaidi...utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...