Faida za kiafya za Asali

Faida za kiafya za kula Asali
- Asali ina virutubisho kama sukari, vitamini na madini mbalimbali
- Asali huweza kuupa mwili uwezo wa kujilinda dhidi ya shambulio la moyo, presha,na saratani
- Pia asali huboresha afya ya macho
- Huongeza kiwango cha sukari kwenye damu
- Hushusha presha ya damu
- Huborsha na kuimarisha afya ya moyo
- Ni dawa kwa aliyeungua ama kwa mwenye kidonda ama jeraha
- Ni dawa ya kikohozi kwa watoto
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Dua za Mitume na Manabii
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
HOMA YA DENGUE, DALILI ZAKE, TIBA YAKE, CHANGO YAKE NA INA SABABISHWA (AMBUKIZWA) NA MBU GANI
Homa ya dengue hupatikana sana Afrika, Asia na baadhi ya maeneo ya Caribbean.
Soma Zaidi...Tufaha (apple)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Faida za kula asali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...