VYAKULA VYENYE MAJI KWA WINGI
- Tikiti
- Tango
- Nanasi
- Machungwa
- Madanzi
- Mapensheni
- Miwa
- Mapapai
- Mastafeli
- Matunda damu
- Komamanga
Faida za maji mwilini
- Kulainisha viungo
- Husaidia katika utengenezwaji wa mate na makamasi
- Husaidia katika usafirishwaji wa oksijeni mwilini
- Huboresha afya ya ngozi
- Huboresha afya ya ubongo, ugwe mgongo na milango ya fahamu
- Husaidia katika kupunguza joto
- Mfumo wa mmengenyo wa chakula unategemea maji
- Husaidia katika kuondosha ushafu ndani ya mwili
- Hutdhibiti shinikizo la damu
- Huzuia uharibifu wa figo
- Husaidia katika kupunguza uzito