Faida za kahawa mwilini.

Posti hii inahusu zaidi faida za kahawa mwilini, ni faida ambazo ujitokeza hasa kwa watumiaji wa kahawa.

Faida za kahawa mwilini.

1.Kahawa usaidia kuchangamana mwili.

Kahawa ufanya kazi hiyo kwa sababu ya kuwepo kwa caffeine kwanye kahawa ndio maana watu wengi uitumia wakati wa baridi.

 

2. Pia kahawa usaidia kuyeyuka kwa mafuta mwilini kwa sababu yenyewe haina mafuta ambayo yanaweza kufanya mwili kushindwa kusafilisha damu kama zilizotabia za vyakula vingine.

 

3. Pia huwa na virutubisho muhimu 

Kwa mfano kahawa ina mangenese na potassium na tena ina mangenese na niocine ambazo ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili wa binadamu.

 

4. Pia kahawa usaidia kutunza kumbukumbu na kwa hiyo wanywaji wa kahawa wako vizuri kwenye kutunza kumbukumbu.

 

5.vili vile matumizi ya kahawa  ukabili maradhi ya moyo na  kiharusi kwa wanywaji wa kahawa ni mara chache kushambuliwa na magonjwa haya.

 

6. Kahawa usaidia kuondoa sumu mwilini na kufanya Mgonjwa aishi kwa mda mrefu.

 

7. Kahawa kuondoa msingo wa mawazo.

Kwa kawaida kahawa ikitumika usaidia kuchangamana mwili na hivyo msongo wa mawazo uweza kuondoka.

 

8. Kwa hiyo kahawa ina faida nyingi sana mwilini kwa hiyo wale ambao hawana shida ya kutumia kahawa wanapaswa kutumia nili kuweza kuondoa baadhi ya magonjwa mbalimbali.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/08/Tuesday - 11:57:26 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1652


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-