Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kutumia tangawizi
Faida za tangawizi
1. Zina chembe chembe za salfa ambazo ni nzuri kwa afya ya binadamu
2. Ina virutubisho Kama vitamin C na B6 pia madini ya manganese
3. HuoungHup usingizi
4. Hupambana na mafua
5. Hushusha presha ya damu
6. Huboresha afya ya moyo
7. Huboresha afya ya ubongo na kuondoa tatizo la kusahau sahau
8. Huondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini
9. Huboresha afya ya mifupa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Je unazijuwa faida za kula chungwa kiafya? soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula korosho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage
Soma Zaidi...