Vyakula vya fati na mafuta na kazi zake
VYAKULA VYA FATI
- Karanga
- Nazi
- Maziwa
- Mayai
- Korosho
- Palachichi
- Nyama
- Samaki
- Nafaka
Kazi za fati mwilini
- Kazi kuu ya fati mwilini ni kutupatia joto.
- Fati pia ni chanzo cha nishati mwilini
- Utando wa seli umetangenezwa na chembechembe za fati
- Ubongo umetengenezwa na fati kwa asilimia 60
- Fati husaidia katika ubebwaji wa vitamini ndani ya mwili
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Vyakula vya vitamin D
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin D
Soma Zaidi...UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Faida za kula papai
Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili.
Soma Zaidi...Vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo, ni vyakula ambavyo upunguza makali kwenye uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...