Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Tangawizi.
Kiungo hiki mara mara nyingi hutumika kwenye chai. Pia hutumiwa kwenye mchuzi japo sio kawaida. Tangaizi hutibu maradhi mengi lakini ni mujarabu sana kwa tatizo la nguvu za kiume. Tutaizungumza vizuri tangaizi kwenye post zetu zijazo.
Tangaizi husaidia katika kuhakikisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula unafanya kazi kwa ufanisi. Husaidia katika uzalishaji wa mate pamoja na nyongo. Huongeza metablolic ndani ya utumbo. Pia tafiti zinaashiria kuwa tangawizi huweza kusaidia kukinga mwili na saratani ya utumbo.
Tangawizi husaidia katika kupunguza stress ikitumika kama kiungo cha chai, pia husaidia katika kusukuma chakula vizuri ndani ya tumbo, hupunguza tatizo la kutokwa na damu za pua. Pia tangawizi kuondoa maumivu na husaidia katika kuimarisha afya ya moyo.
Tangawizi ina รฏโยท17.86 g of carbohydrate, 3.6 g of dietary fiber, 3.57 g of protein, 14 mg of sodium, 1.15 g of iron, 7.7 mg of vitamin C, na 33 mg of potassium
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Vitamini C kwa wingi hupatikana kwenye machungwa, maembe, mananasi, limao na ndimu
Soma Zaidi...Nanasi ni katika matunda matamu lakini mazuri pia kiafya, je unazijuwa faida zake kiafya
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuoambana na mafua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula uyoga
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Soma Zaidi...