Faida za kiafya za kula Korosho

Faida za kiafya za kula korosho
- husaidia kuimarisha afya ya misuli na mishipa ya neva (mishipa ya fahamu)
- Hupunguza hatari ya kupata kisukari
- Husaidia matibabu ya saratani
- Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Husaidia katika kuimarisha afya ya kinywa (meno ) na mifupa
- Hupunguza athari za maradhi ya anaemia yaani upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini
- Hupunguza hatari ya kutengenezwa vijiwe kwenye kibofu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitau cha Fiqh
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...Matunda yenye vitamin C kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi
Soma Zaidi...Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Zijuwe dawa za kuongeza nguvu za kiume, na vyakula salama vya kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...