Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Faida za kunywa maziwa
1. husaidia kuboresha afya ya ngozi
2. Huimarisha afya ya kinywa na meno
3. Huboresha afya ya mifupa
4. Husaidia katika ukiuari imara wa misuli
5. ni kinywaji kizuri kwa kupunguza uzito
6. Hupunguza stress na misongo ya mawazo
7. Hupunguza maumivu ya chango la wakinamama
8. Huondosha kiungulia
9. Huboresha mfumo wa kinga
10. Hupunguza mashambulizi ya mara kwa mara ya vijidudu vya maradhi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini
Soma Zaidi...