Umeshawahi kuumwa na dawa yako ikawa maji? Huwenda bado basi hapa nitakujuza kidogo tu, juu ya jambo hili.
Maji ni katika vimiminika muhimu sana katika mwili wa kiume hai chochite kile. Majivyanaweza kuwa ni dawa pia ukiachana na faida nyingi za maji.
Tafiti zinathibitisha kuwa jwa matatizo ya saikolojia unatakiwa kuoga pindi unapokuwa na msongo wa mawazo kupitiliza.
Wataalamu wa saikolojia pia wanashauri kabla ya kufanya maamuzi kama utaosha uso na mikono basi maamuzi yako yatakuwa sahihi kwani utakuwa freshi kisaikolojia.
Kama unasumbukiwa namaumivu ya kichwa wakati wa mchana jaribu kunywa maji huwenda ukapona maumivu hayo. ✍️
Kwa mtu aliyekunywa sumu kama utakosa maziwa maziwa mpatie maji mengi sana anywe. Hii itasaidia kuounguza makali ya sumu.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za karoti na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Vitamini C tunaweza kuvipata kwenye matuinda kama machunwa vina kazi kuu tatu ambazo ni hizi hapa
Soma Zaidi...