Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
NAMNA YA KUYATUNZA MACHONjia bora ya kuyakinga macho na maradhi mbali mbali
A.Usafi wa mwili na mazingira tunayoishi
B.Kuosha mikono kwa maji safi
C.Kuosha uso mara kwa mara
D.Kuvaa miwani kwa wale wenye kufanya kazi sehemu
E.zenye mavumbi na dereva wa pikipiki
F.Kuvaa miwani ya kiza sehemu zenye mwangaza mkali mfano welding
.G.Epuka kutumia dawa bila ya ushauri wa daktari
H.Epuka tiba za kienyeji kwenye machoI.Soma kwenye sehemu zenye mwangaza wa kutosha.
J.Kula tunda angalau mara moja kwa siku
K.Muone daktari kila unapopata matatizo ya macho
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia za kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha wenyewe, hali hii uwa inawapata wagonjwa wale ambao hawawezi kujilisha wenyewe tunaweza kuwalisha kwa njia zifuatazo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza jinsi ya kumfanyia huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
Soma Zaidi...Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi aina kuu za vidonda,kuna aina kuu tatu za vidonda ambapo kila aina utumiwa kwa njia yake kama tutakavyoona hapo chini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Soma Zaidi...