Posti hii inahusu zaidi madhara ya kunywa pombe kiafya, ni madhara ambayo utokea kwa watu wanaokumywa pombe kwa kupita kiasi kwa hiyo wanapaswa kupunguza kunywa pombe baada ya kujua madhara yake.
Madhara ya kunywa pombe kiafya.
1. Pombe iliyopita kiasi Usababisha matatizo kwenye moyo kwa sababu udhoofisha mishipa na mishipa kushindwa kusukuma damu kwa hiyo wa nywaji wa pombe wanapaswa kupunguza ili kuepuka madhara ya magonjwa wa moyo.
2. Matatizo ya ini .
Kwa sababu ya kuwepo kwa sumu inayosababishwa na unywaji wa pombe Usababisha sumu kubwa mwilini ambayo uweza kushambulia ini na kusababisha Magonjwa ya ini kwa hiyo wanywaji wa pombe kupita kiasi wanapaswa kujua hili.
3. Watumiaji wa pombe wako kwenye hatari ya kupata tatizo la shinikizo la damu kwa sababu ya kulegea kwa mishipa inayosukuma damu.
4. Pia unywaji wa pombe unasababisha kuwepo kwa ugonjwa wa Anemia kwa sababu seli kushindwa kusafilisha damu.
5. Pia matatizo ya unywaji wa pombe Usababisha kuwepo kwa ugonjwa wa saratani kwa sababu ya kuwepo kwa sumu nyingi mwilini.
6. Pia matatizo ya pombe Usababisha kusinyaa kwa ubongo kwa sababu ubongo ushindwa kufanya kazi vizuri kwa hiyo tunapaswa kuacha kutumia pombe.
7. Kwa sababu ya matumizi ya pombe kunaweza kuwepo na msongo wa mawazo kwa sababu ya kuaribika na kemikali zinazosafirisha damu mpaka kwenye ubongo.
8. Kwa kujua adhari za pombe tunapaswa kuacha kutumia pombe ili kuweza kuepuka madhara makubwa ambayo yanaweza kutokea katika maisha yetu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza jinsi ya kumfanyia huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Soma Zaidi...vitamini k ni moja katika vitamini vinavyoitajika sana mwilini. Je unazijuwa athari za upungufu wa vitamini k mwilini?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi tiba na huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu waliopata ajali. Ajali ni tukio lisilotarajiwa ambalo kinaweza kumkuta mtu yeyote, tunapotoa huduma ya kwanza tnazingatia rangi ambazo huwakilisha jinsi watu walivyoumia.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mishipa inayosafilisha damu mwilni, ni Aina tatu za mishipa ambazo usafilisha damu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
Soma Zaidi...