HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA KWIKWI
Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo.
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA KWIKWI
Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo. Mara nyingi kwikwi huja na kuondoka yenyewe, lakini inaweza kuwa ni hali ya usumbufu ikiindelea kwa muda kadhaa. Kwa watoto kwikwi sio nzuri. Huduma ya kwanza kwa kwikwi unaweza kujifanyia mwenyewe ama kufanyiwa na mtu.
1.Kunywa glasi ya maji kwa haraka sana hakikisha umejaza glasi nzima
2.Mwambie mtu akutishe ama mtishe mtu mwenye kwikwi
3.Ufute ulimi wako nje
4.Ngβata kipande cha limao
5.Kunywa maji kwa kutumia glasi ndefu
6.Tumia chumvi yenye harufu
7.Weka husu ya kijiko cha sukari nyuma ya ulimi wako.
8.Nyonza barafu
9.Kula asali ama sukari
10.Kunywa maji kipolepole
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Madrasa kiganjani π2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π3 Bongolite - Game zone - Play free game π4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π5 Simulizi za Hadithi Audio π6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Soma Zaidi...Mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa walio na majeraha ya macho.
Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa walio na majeraha ya macho kutokana na aina mbalimbali ya jeraha
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPANDWA NA PRESHA
Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...Imani potofu kuhusu kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi imani potofu waliyonayo Watu kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu, hizi ni imani ambazo uwepo kwenye jamii na pengine uweza kuaminika lakini si za ukweli.
Soma Zaidi...Malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele.
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele zake, ni sababu ambazo upelekea kumsafisha mgonjwa nywele kama tutakavyoona hapo chini.
Soma Zaidi...Utaratibu wa lishe kwa watoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto
Soma Zaidi...