Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini
Lengo la kutoa huduma ya kwanza ni kama ifuayavyo
1. Kuokoa maisha ya mgonjwa
2. Kuzuia kuongezeka kwa maumivu kwa mgonjwa
3. Kupunguza maumivu
4. Kumlinda mgonjwa asiendeleee kutumia zaidi
Vifaa vinavyotumika wakati wa huduma ya kwanza
1. Pamba
2.tochi
3. Taulo
4. Dawa ya maumivu
5.pini Safi
6 .wembe
7.sabuni
8.dawa ya kusafisha vidonda
Ni watu gani wanapaswa kupewa huduma ya kwanza?
1. Watu waliopata ajali
2. Wagonjwa waliopo nyumbani
3.waliovamiwa na nyuki
4.walioumwa na mbwa
5. Waliowamiwa na nyuki
Huduma ya kwanza ni muhumu sana kwa sababu inampa mgonjwa aueni kabla hajafika hospitalini.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi namna ya ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Soma Zaidi...Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu waliyonayo Watu kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu, hizi ni imani ambazo uwepo kwenye jamii na pengine uweza kuaminika lakini si za ukweli.
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia, hii ni chanjo inayozuia hasa hasa Magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo nayo upewa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
Soma Zaidi...