Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujikinga na UTI
NJIA ZA KUJIKINGA NA UTI1.Kunywa maji mengi na ya kutosha2.Dhibiti kisukari kama na kisukari3.Punguza kula vitu vyenye sukari kwa wingi4.Unapochamba jifute kuelekea nyuma5.Punguza michepuko6.Kojoa baada ya kushiriki tendo la ndoa7.Kojoa pindi unapohisi mkojo8.usitumie kondomu isiyo na vilainishi
Dawa ya uti1.Amoxicillin/augmentin2.Cetriaxone(rocephin)3.Trimethoprim/sulfamethoxazole4.Cephalexin5.Ciprofloxacin (cipro)6.Fosfomycin7.Levofloxacin8.Nitrofurantoin (mecrodantin)
Dawa kama ciprofloxacin na levofloxacin hutumika kutibu UTI sugu, hivyo si vyema kutumiwa kwa uti ya kawaida. Hata hivyo kabla ya kutumia dawa hizi hakikisha unapata ushauri wa daktari kwanza.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Degedege ni ugonjwa unaoshambulia sana watoto chini ya miaka mitano,na uwaletea matatizo mengi pamoja na kuwepo kwa ulemavu na vifo vingi vinavyosababishwa na ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula
Soma Zaidi...Maziwa ni mojakati ya vinywaji ambavyo ni dawa na hutumikakutoa huduma ya kwanza pale mtu anapomeza ama kula sumu. Huduma ya kwanza hii inaweza kuokoa maisha na wakati mwingine inaweza kuwa ndio dawa kabisa wala hakuna haja ya kufika Kituo cha afya.
Soma Zaidi...Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda dhidi ya mapunye
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi
Soma Zaidi...