Uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.

Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.

Uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kuwa kibofu cha mkojo na tumbo la uzazi kwa kawaida vinakaribiana kwa hiyo mimba ikikua na hivyo hivyo na kibofu cha mkojo ukandamizwa hali ambayo ufanya mama akojoe wakati wa ujauzito kwa sababu mtoto ashakuwemio kwenye mlango wa kizazi.Kwa akina Mama wasihofu au wasishangae kuona tatizo la kukojoa mara kwa mara inalowatokea.

 

2. Na pia Kuna wakati mwingine mama akicheka kwa nguvu na pia mkojo unaweza kupita na kutoka nje hali hii utokea kwa sababu kibofu cha mkojo kípo karibu.

 

3. Kwa hiyo akina Mama waache tabia za kutumia dawa za kienyeji wakidhani wanaweza kupata uponyaji. Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/06/Wednesday - 04:40:47 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4318


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-