Hatua Saba za kutibu au kuepuka uvimbe kwenye kizazi

Posti hii inahusu zaidi hatua ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kutibu uvimbe au kwa kitaalamu huitwa fibroids. Hizi hatua zikitumika uweza kusaidia kupunguza kiwango cha kupata au kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.

Hatua Saba za kuepuka kupata uvimbe au kutibu uvimbe kwenye kizazi.

1. Epuka vyakula ambavyo vinasababisha kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.

Kuna vyakula ambavyo upelekea kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi kwa mfano vyakula vyenye mafuta mengi kwa mfano bagga,sousage, daima kula nyama ya Mnyama anayekula nyasi na epuka kula Nyama ya myama anayekula chakula kama binadamu.

 

2. Daima tumia vyakula vinavyopunguza tatizo.

Kwa kawaida epuka sana vyakula vinavyopunguza tatizo kwa mfano mboga mbona za majani kwa sababu ya kuwepo kwa vitamin K ambavyo uzuia  damu kuganda,n uwepo wa vitamin Ambavyo usaidia kuzalishwa kwa seli nyingine.

 

3. Tumia virutubisho kwa ajili ya kupunguza uvimbe.

Kuna virutubisho ambavyo usaidia kwa ajili ya kupunguza uvimbe kwa mfano mafuta ya samaki ,mafuta ya flaxseed, kijiko kimoja kwa siku kwa hiyo upunguza uvimbe kwenye kizazi na kuzuia uvimbe na matumizi ya dawa kama vile ZAMISOCAL urekebisha kiwango cha homoni aina ya estrogen.

 

4. Utumiaji wa chai tiba.

 Kwa kutumia chai tiba kwa kitaalamu huitwa herbal coffee usaidia sana katika kutibu uvimbe na Kuna dawa nyingine ambazo usaidia kutibu uvimbe kwenye kizazi.

 

5. Matumizi ya dawa za Castrol.

 Dawa aina ya Castrol usaidia kuongeza usafirishaji wa damu na hivyo kutoa Sumu mwilini, kwa hiyo Sumu mwilini ikitokea usababisha hali kuwa ya kawaida.

 

6. Kujiepusha na mazingira hatarishi na yenye Sumu Kuna mazingira mengine yenye Sumu kama vile dawa za kuua wadudu, na matumizi mengine yenye kemikali.

 

7. Kuwepo kwa mazoezi ya kutosha.

Mazoezi mengine ya kutosha usaidia Sana katika kuruhusu damu kusafiri na pia kutoa Sumu mwilini. Kwa hiyo ni vizuri kufanya kufanya usafi mara tatu kwa siku.

 

8. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini kujua Dalili na wakati ambapo uvimbe unaweza kutokea Ili kuweza kutibu tatizo nakujiepusha na mambo mengine ambayo yanaweza kuleta matatizo mbalimbali kwenye mfumo mzima wa uzazi.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/07/Thursday - 03:27:40 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2414


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-