Mwanamke anatema mate mara kwa mara je inaweza kuwa ni ujauzito?
Ni kweli kuwa kutema mate mara kwa mara inaweza kuwa ni dlili za ujauzito. Lakini itambulije kuwa pekee sio kithibitishi cha ujauzito.
Swali:
👉Mwanamke wangu kapima juzi Hana mimba lakini anatema mate ovyo ? Toka nionane nae SASA ni wiki je hii ni Dalili ya uwepo WA mimba ?
👉Alafu pia analalamika tumbo linauma juu ya kitovu ? Vipi bado inaweza ikawa ni mimba ? Au nimpeleke akatibiwe ?
👉Hedhi yake Bado japo juzi alianza kutokwa vipele Kama Dalili yake ya hedhi ila baadae vimepotea
Jibu:
âœï¸Kutema mate pekee sio dalili ya ujauzito, kwanza fanya vipimo. Pekee baada ya vipimo ndipo utathibitisha uwepo wa mimba.
âœï¸Mabadiliko ya homoni, maradhi ya PID na shida za kwenye kizazi yanawwza kuwa sababu za maumivy ya tumbo, kutema mate na zaidi.
âœï¸Fika kituo cha afya kuoata vipimo na matibabu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 web hosting 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 ai web app 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Samahani nauliza mjamzito akiwa na presha140/90 Kuna madhara?
Presha ya kupanda hypertension huweza kuzumbuwa watu kwa jinsia zote, na umri wote. Wajawazito pia wamekuwa wakisumbuliwa na presha hii mara kwa mara.
Soma Zaidi...Mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye mfumo wa chakula kwa wajawazito, ni mabadiliko ambayo utokea kwa wajawazito hasa kwenye mfumo wa chakula.
Soma Zaidi...Kupima ujauzito kwa kutumia chumvi, sukari na sabuni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupima mimba kwa kutumia chumvi sukari na sabuni
Soma Zaidi...