Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!

Habari DoktaNikuulize kituu?

Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!

Habari Dokta

Nikuulize kituu?Namba ya swali 010

Uliza, tafadhali...Namba ya swali 010

Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!Namba ya swali 010

Je mnatumia kondomuNamba ya swali 001

kondom hatutumiiiNamba ya swali 001

Kuna maumivu yeyote unapata kama wakati wa kukojoa au kuna mabadiliko yeyite kwenye majimaji ya ukeniNamba ya swali 001

Hapana sio mimi, anayewashwa ni mumwe wanguNamba ya swali 001

Aaanha Ok, samahani sikukuelewa vyema hapo mwanzoNamba ya swali 001

Kuna uwezekano wa mashambulizi ya vijidudu vya maradhi. Mwambie akapime UTI na acheki kama atakuwa na fangasi kwenye ya uume wake. Na ikiwezekana mkapime wote maana huwenda kuna bakteria au fangasi mnabadilishana mnapofanya tendo la ndoa.Namba ya swali 001

ShukranNamba ya swali 001

Endelea kuwa pamoja nasi
www.bongoclass.comNamba ya swali 001Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 180


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-