Posti hii zaidi kazi ya Dawa ya metronidazole katika kutibu Minyoo, ni aina ya Dawa ambayo imetumiwa na watu wengi wakaweza kupona na kuepukana na minyoo. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za metronidazole.
Kazi za metronidazole.
1. Metronidazole ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa katika kupambana na aina mbalimbali za minyoo, dawa hii iko katika mifumo mbalimbali, kama vile vidonge vya kawaida, kwenye maji maji ambayo utumiwa sana na watoto na pengine kwenye mfumo wa gel, pamoja na kuwa kwenye mifumo mingi mfumo ambao utumika sana ni vidonge, dawa hii ya metronidazole inayotolewa kwa njia ya vidonge umengenywa na kufanya kazi kuanzia saa moja mpaka matatu.
2.Dozi ya dawa ya metronidazole kwa watu wazima ni milligram mia nne mara tatu kwa siku kwa kawaida utolewa kwa siku saba na kwa watoto ni milligram saba na nusu kwa kila maasaa manane dozi hii utolewa kwa njia ya vidonge. Na pia dawa hii inaweza kupitia kwenye njia ya haja kubwa ambayo kwa kitaalamu huitwa by rectum, ambapo gramu moja utolewa kwa masaa manane ndani ya siku tatu na baadae gram moja kila baada ya masaa kumi na mawili hii ni kwa watu wazima.
3. Na kwa watoto ni kila baada ya masaa manane kwa siku tatu, tena baadaye kila baada ya masaa kumi na mawili kwa umri kuanzia miaka zero mpaka mwaka mmoja na milligram yake ni mia ishirini na tano. Na kuanzia mwaka mmoja mpaka miaka mitano ni milligram mia mbili ishirini na tano, na kuanzia miaka mitano mpaka miaka kumi ni milligram mia tano na kuanzia miaka kumi na kuendelea ni gram moja. Hasa hasa njia ya kupitisha dawa hii kwa mgonjwa yeyote kwa njia ya haja kubwa ambayo uitwao by rectum wagonjwa hawa huwa wanashindwa kumeza au wana degedege.
4. Na kwa wakati mwingine dawa hii upitishwa kwenye mishipa ya damu ambayo kwa kitaalamu huitwa intravenous, ambapo mtu mzito upatata milligram mia tano kwa masaa manne na kwa mtoto Upata milligram saba na nusu kwa kwa masaa manne, njia hii ni nzuri kwa sababu dawa yote uenda moja kwa moja kwenye damu na kuweza kuleta matokeo mazuri mapema.
5. Dawa hii pia huwa na maudhi madogo madogo kama vile harufu mbaya kwenye mdomo, kizungu Zungu, maumivu ya kichwa, maumivu ya tumbo pia yanaweza kutokea na pia kuna angalisho katika kutumia dawa hii, mtumiaji hapaswi kuonja pombe hata kidogo wakati anapotumia dawa hii kwa sababu dawa hii uingiliana na pombe, kwa hiyo mtumiaji hapaswi kabisa kuonja pombe akiwa anatumia dawa ya metronidazole. Kwa hiyo dawa hii haipaswi kutumiwa kiholela masharti na ushauri wa daktari unapaswa kuzingatiwa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi nguzo kuu za umama katika umri wa kujifungua na kulea watoto, ni kipindi ambacho mama anakuwa analea watoto kwa kawaida kadri ya makadirio kipindi hiki uanza kati ya miaka kumi na mitano mpaka arobaini kwa walio wengi na kinaweza k
Soma Zaidi...posti hii inaelezea kuhusiana tatizo la muingiliano wa majimaji ya seli za Mtoto kwenye Damu ya mama mjamzito ambao hujulikana Kama Amniotic Fluid Embolism ni hali adimu lakini mbaya ambayo hutokea wakati Maji ya amniotiki Majimaji ambayo huzunguka mtot
Soma Zaidi...Korodani ni kiungo muhimu kwa mwanaume, katika afya ya uzazi. Unaweza kusema ni kiwanda cha kutengeneza mbegu za kiume. Kiungo hiki ni sawa na ovari kwa mwanamke.
Soma Zaidi...Je anapatwa maumivu Γ°ΕΈΛΒ makali wakati wa tendo la ndoa ama ukiwa katika hedhi? Soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.
Soma Zaidi...Utajifunza sababua zinazopelekea kuhisi maumivu makali ya tumbo baada ya kumaliza tendo la ndoa
Soma Zaidi...dalili za ugonjwa wa tezi dume, na sababu za kutokea kwa tezi dume, maana ya tezi dume na athari zake
Soma Zaidi...Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.
Soma Zaidi...