Tiba mbadala za vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala za vidonda vya tumbo
TIBA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO.Wataalamu wa afya pia wanakubali uwepo wa tiba mbadala katika kutibi vidonda vya tumbo. Zipo nyingi sana, miongoni mwazo ni:-A.BamiaB.Kitunguu thaumuC.Asali
Kwa nini vidonda haviponi hata baada ya kutumia dawa?Hii hutokea endapo:-A.Kama mgonjwa hakutumia dawa kwa kufuata masharti vyemaB.Haswa kuna baadhi ya bakteria wa vidonda vya tumbo wana usugu wa kufa na dawaC.Kama unatumia tumbakuD.Kama unatumia dawa za NSAIDs
Pia mara chache vidonda vya tumbo vinaweza kusababishwa na:-A.Uzalishwaji wa asidi kupitilizaB.Mashambulizi mengie yasiyo ya H.pyloriC.Saratani ya tumboD.Kuwa na maradhi mengine
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 web hosting 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Kazi za Dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria
Posti hii inahusu zaidi kazi za dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria kali, ni dawa ambayo inatumika sana kutibu Malaria kali.
Soma Zaidi...Fahamu dawa ya haloperidol katika matibabu ya akili
Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa.
Soma Zaidi...Dawa ya fangasi na dalili za fangasi
hapa utajifunza dalili za fangasi, dawa ya fangasi na aina za fangasi, pia nitakujuza njia za kukabiliana na fangasi
Soma Zaidi...Dawa za kutibu kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za kutibu kiungulia
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa za magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo.
Soma Zaidi...