Somo Hili linakwenda kukuletea dawa ya maumivu ya jino
Dawa ywa maumivu ya jino.Maumivu ya jino ma kwa jina lingine hufahamka kama odontalgia, ni maumivu makali yanayoweza kutokea kwenye ufinzi, mdomo na mifupa inayolishika jino. Maumivu haya yanaweza kuwa makali sana kiasi cha mtu kuomba msada. Wakati mwingine maumivu haya hutokea baada ya kula vitu ama kufanya jambo lakini hii sio lazima. Huwenda pia yakatokea bila hata ya sababu yeyote ile.
Je na wewe ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na maumivu ya meno. Makala hii ni kwa ajili yako. Utajifunza sababu za maumivu ya jino, yanatokeaje, utakabiliana vipi na dawa gani utumie. Kama ukipenda makala hii usiwache kututupia maoni hapo chini:-
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Ugonjwa wa manjano ni moja kati ya maradhibyanayosumbuwa ini. Ugonjwa huu unahitaji uangalizi wa haraka hospitali. Posti hii itakwenda kukujuza ninivufanyebendapobmtoto wako ana ugonjwa wa manjano.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji ni dawa ambayo imependekezwa kutuliza aleji kama dawa ya hydrocortisone, Prednisone hazipo au zimeshindwa kufanya kazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Aspirini Ni dawa ya kutuliza maumivu.Majina yanayoaminika zaidi katika kutuliza maumivu sasa yanapatikana kwa njia mbadala inayookoa gharama kwa kutumia Aspirini. Aspirini inayopendwa na familia kwa miongo kadhaa, mara nyingi hutumiwa kupunguza maumivu y
Soma Zaidi...Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya streptomycin ni dawa mojawapo ya kupambana na bakteria hasa wanaoshambulia mfumo wa hewa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na dawa ya maumivu ya hedhi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo.
Soma Zaidi...