Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za vidonda vya tumbo
DAWA YA VIDONDA VYA TUMBODawa za vidonda vya tumbo zinategemea aina za vidonda alivyo navyo, mahala vilipo na sababu za vidonda hivyo. Kitu cha kwanza kuangalia ni sababu gani zilizopelekea vidonda hivyo?. kisha baada ya kuijuwa sababu ndipo maibabu yatafuata. Kama tulivyokwisha jifunza kuwa sababu kuu za vidonda vya tumbo ni bakteria aina ya Hypylori. Hivyo kama sababu ni hii mgonjwa atapewa dawa ya kuwauwa hawa bakteria. Pia kama sabau ni asidi tumboni atapewa dawa za kupunguza uzalishwaji wa hizi asidi. Dawa za vidonda vya tumbo ni kama zifuatazo:-
1.Dawa kwa ajili ya kuuwa bakteria. Hapa mgonjwa atapewa dawa kama:-A.Amoxicillin (amoxil)B.Clarithromycin (Biaxin)C.Metronidazole (flagyl)D.Tinidazole (tindamax)E.TetracylineF.Levolaxacin
2.Dawa za kuzuia uzalishwaji wa asidi mwilini (proton pump inhibitors (PPIs))A.Omeprazole (Prilosec)B.Lansoprazole (Prevacid)C.Rabeprazole (Aciphex)D.Esomeprazole (Nexium)E.Panztoprazole (Protonix)
3.Dawa za kupunguza uzalishwaji wa asidi tumboni (Acid blockers (histamine (H-2))A.Famoditine (Pepcid AC)B.Cimetidine (Tagamet HB)C.Nizatidine (Axid AR)
4.Dawa zinzzolinda ukuta wa utumbo na tumboA.Cytoprotective agentsB.Sucralfate (Carafate)C.Misoprostol (Cytotec)
TIBA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO.Wataalamu wa afya pia wanakubali uwepo wa tiba mbadala katika kutibi vidonda vya tumbo. Zipo nyingi sana, miongoni mwazo ni:-A.BamiaB.Kitunguu thaumuC.Asali
Kwa nini vidonda haviponi hata baada ya kutumia dawa?Hii hutokea endapo:-
A.Kama mgonjwa hakutumia dawa kwa kufuata masharti vyema
B.Haswa kuna baadhi ya bakteria wa vidonda vya tumbo wana usugu wa kufa na dawa
C.Kama unatumia tumbaku
D.Kama unatumia dawa za NSAIDs
Pia mara chache vidonda vya tumbo vinaweza kusababishwa na:-A.Uzalishwaji wa asidi kupitilizaB.Mashambulizi mengie yasiyo ya H.pyloriC.Saratani ya tumboD.Kuwa na maradhi mengine
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
DAWA YA MAPUNYEMatibabu ya mapunye inategemea ni wapi mapunjye yapo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mgonjwa wa uti wa mgongo, kwa kawaida tunajua kuwa homa hii ya uti wa mgongo usababisha na wadudu mbalimbali kama vile bakteria, virus, fungasi, sumu mbalimbali kama vile madini ya lead na arseni, na vitu kama vile Mag
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa e quinine katika kutibu Malaria ni dawa inayotibu Ugonjwa wa Malaria ikiwa dawa nyingine zimeshindwa kufanya kazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu, ni dawa inayosaidia kutibu maumivu ya Kawaida kama vile aspirin.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi aina mojawapo ya dawa ya penicillin ambayo ufanya kazi kwa mda mrefu, dawa hii kwa kitaamu huiitwa procaine benzyl penicillin.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Soma Zaidi...