Ifahamu dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji
Post hii inahusu zaidi dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji ni dawa ambayo imependekezwa kutuliza aleji kama dawa ya hydrocortisone, Prednisone hazipo au zimeshindwa kufanya kazi.
Fahamu kuhusu dawa ya epinephrine katika kutuliza aleji.
1. Dawa ya epinephrine ni mojawapo ya dawa za kutuliza aleji, dawa hizi imependekeza hasa kama mgonjwa hawezi kutumia hydrocortisone, Prednisone au pengine dawa hizo hazikubaliani na mgonjwa.
2.Dawa hii ya Prednisone usaidia sana katika kutuliza aleji zinazokuwa za ghafla au kwa watu wake wanaopata aleji za vyakula, vumbi, harufu ya maua, ngozi za wanyama na pia kwa wagonjwa wa asthma dawa hii usaidia sana kwa hiyo dawa hizi inaweza kutumika kwa watu wote wenye matatizo mbalimbali ya aleji.
3. Kwa kawaida dawa hii ya Prednisone huwa na milligrams kuanzia kwa kumi mpaka ishirini na pia uendelea mpaka sitini,na kwa wale wenye aleji nyingi dozi uanzia thelathini mpaka arobaini milligrams na pia kwa kadiri ya mgonjwa anavyoendelea kupata nafuu na dozi uendelea kupunguzwa kwa sababu dawa hizi ya aleji ina matokeo mbalimbali na dozi upunguzwa kulingana na upatikanaji wa nafuu wa mgonjwa.
4. Dawa hizi utumika kwa watu mbalimbali ila kwa wale wenye matatizo na dawa hizi hawapaswi kuitumia au kwa wale ambao wameitumia mara nyingi na hawakupata nafuu wasitumie dawa hii na vile vile kwa wale wenye presha ya kupanda wanapaswa kuitumia kwa uangalifu na pia kwa wale wenye matatizo kwenye mapafu wanapaswa kuitumia kwa uangalifu wa wataalamu wa afya.
5. Dawa hizi huwa na maudhui mbalimbali kama vile maumivu ya kichwa baada ya kutumia, mwili kuishiwa nguvu,na pengine kikohozi kinaweza kutokea baada ya kupona,kwa hiyo dawa hii haipaswi kutumiwa kiholela ni vizuri kabisa kufuata utaratibu wa wataalamu wa afya hasa kwa wenye presha na dawa hizi Usababisha kuongeza mapigo ya moyo kwa hiyo ushauri wa daktari na wataalamu wa afya ni muhimu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Fahamu zaidi kuhusiana na Dawa ya Moyo DIGOXIN
Digoxin ni nini? Digoxin inatokana na majani ya mmea wa digitalis. Digoxin husaidia kufanya mapigo ya moyo kuwa na nguvu na kwa mdundo wa kawaida zaidi. Digoxin hutumiwa kutibu kushindwa kwa moyo. Digoxin pia hutumiwa kutibu mpapatiko wa atiria, ugonjw
Soma Zaidi...Dawa ya Vidonda vya tumbo
Nitakujuza dawa ya kutibu vidonda vya tumbo, na kutibu vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Mebendazole kama dawa ya kutibu Minyoo.
Post hii inahusu zaidi dawa ya Mebendazole kama Dawa ya kutibu Minyoo, ni dawa inayotumiwa na watu wengi pale wanapokuwa na minyoo, walio wengi wamefanikiwa kupona kwa kutumia Dawa hii.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya potassium sparing
Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...