Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karoti
Karoti.
Watu wengi wanafahamu kuwa karoti ni mujarabu katika maatizo ya macho. Karoti huimarisha afya ya macho yako. Tafiti zinaonyesha kuwa karoti husaidia kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo. Kariti ni kiungo safi kwa mboga ni ni dawa iliyo nzuri. Unaweza kutumia karoti kwa kutafuna, kutengeneza juisi, kachumbari iliyochanganywa na kabichi n.k
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Nazi ni katika matunda bora sana kiafya, Soma faida zake kwa afya yako
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza faida na matumizi ya asali mwilini.
Soma Zaidi...