Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant
59. Faida za kula bilinganya (eggplant)
? Ijapokuwa watu wanaita hii ni mboga lakini uhalisia bilinganya ni tunda.
1. lina virutubisho kama vitamini C, K pia madini ya potassium na manganese pia lina protini
2. Hulinda mwili dhidi ya madhara ya kemikali
3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
4. Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu kwa kuishusha
5. Husaidia katika kupunguza uzito
6. Pia husaidia katika kupambana na saratani kwa kuziuwa seli za saratani
7. Huboresha humoni ya insulini iweze kutolewa kwa ufanisi
8. Husaidia katika kudhibiti kisukari.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...