FLUTTER

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 15: JINSI YA KUWEKA ICON KWENYE APP YA FLUTTER

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia icon yaani kuweka icon kwenye App ya flutter.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 14: JINSI YA KUWEKA PICHA

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu widget ya Image ambayo hutumika kuonyesha picha kwenye App.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 13: WIDGET YA BATANI

Katika somo hili uatakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia batani na kuweka maumbo mbalimbali ya batani.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 12: WIDGET YA PADDING

Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 11: MATUMIZI YA TEXT WIDGET

Katika Flutter, Text Widget ni kipengele kinachotumiwa kuonyesha maandishi kwenye programu. Kwa kawaida, hutumiwa kama sehemu ya muundo wa UI ya programu za Flutter.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 10: JINSI YA KUTUMIA WIDGET YA CONTAINER

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya container pia tutajifunza jinsi widget hii inavyoweza kutumika na widget nyingine.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 9: JINSI YA KUTUMIA WIDGET YA ROW

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu row widget. Hii ni widget ambayo ina utofauti na column widget kwa kuwa hii yenyewe inapangilia maudhui kwa safu za mlalo, tofauti na iliyopita inapangilia kwa safu za wima.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 8: JINSI YA KUTUMIA WIDGET YA COLUMN

Katika somo hili utakweda kujifunza kuhsu widget ya column. Widget hii ni moja katika widget zilizo muhimu sana kuzifaham.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 7: JINSI YA KUTUMIA WIDGET YA APPBAR

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 6: SCAFFOLD WIDGET, KAZI ZAKE NA PROPERTY ZAKE

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu scaffold widget. Hapa tutakwend kuona properties zake na baadhi ya mifano.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 5: WIDGET NI NINI NA ZINAFANYA NINI KWENYE FLUTTER

Katika somo hili uatwkeda kujifunza zaidi kuhusu widget, maana yake, aia zake na kazi zake kwneye flutter.

Sandwich
FLUTTER: SOMO LA 4: JINSI YA KUANDIKA CODE ZA APP YA FLUTTER, HATUWA KWA HATUWA

Katika somo hili utakwenda kujifunza sasa jinsi ya kuandika code za app yetu kwenye flutter framework.

Sandwich
FLUTTER: SOMO LA 3: MAMBO MUHIMU KUHUSU APP YA FLUTTER

Katika somo hili tutakwend akuyaona baadhi ya maeneo muhimu ya kuanzia kuyajuwa kwa ajili ya course ya flutter kwneye android studio.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 2: JINSI YA KUTENGENEZA APP YA FLUTTER

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza App yako ya kwanza ya Flutter hatuwa kwa hatuwa.

Sandwich
FLUTTER SOMO LA 1: NINI FLUTTER NA NINI HASA INAFANYA

Katika somo hili utajifunza historia fupi ya flutter, kazi zake, nini hasa inafanya. pia utajifunza jinsi ya ku install flutter