FLUTTER somo la 19: jinsi ya kubadili app id ama bundle identifier na configuration nyingine
Katika somo hili utajifunza jisni ya kubadili package name ama app id kwenye Android app na Bundle Identifier kwenye iOS app na taarifa nyinginezo.
Hatuwa za kubadili package name ama Bundle identifier kuna hatu chache ambazo utazipitia. Sasa wacha tuone hatuwa kwa hatuwa:-
Kwa android:
-
Kubadili app id
Ndenda kwenye faili linaloitwa build.gradle linalopatikana kwenye Android -> app -> buil.gradle
Moja kwa moja nenda kwenye defaultconfig hapo utakutana na mstari umeandikwa applicationId mbele yake kuna application id inayoanza na com kwa mimi ni com.example.mafunzo
Badili hiyo applicationId kuwa nayoitaka. Kwa mfano nataka iwe com.mafunzo.tehama. Hivyo itakuwa hivi applicationId = "com.mafunzo.tehama"
-
Kubadili app code:
Angalia tena kwenye hiyo defaultConfig utaona kwenye list hapo kuna palipoandikwa versionCode = flutterVersionCode.toInteger()
Hapo unaweza kuach kama palivyo ama unaweza kubadili code unayoitaka. Mfano app yako ipo playstore code ya 12, sasa unataka code ya 13 hivyo utakuja hapo na kuweka 13
Baada ya hapo run app yako package itakuwa imeshabadilika. Sasa mimi hapo nitaweka 1.
-
Kubadili minSdk
minSd n fupsho cha minimum skd, sasa unaweza kuacha kama palivyo. Ila kama unataka app yako iweze kutumiwa na hata simu za zamani utaweka sdk ya chini unayotaka. Kwa mfano ukiweka 15 ina maana app yako itaweza kufunguliwa na android version ya 4.
-
targetSdk
Hii inaeleza inaonyesha API ambayo app imetarget. Vyema ukaacha kamapalivyo kama huhitaji ku target android version za zamani. Google uwa kila mwakawanatakautarget latest android sdk,
-
versionNam...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 ai web app 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
FLUTTER somo la 2: Jinsi ya kutengeneza App ya flutter
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza App yako ya kwanza ya Flutter hatuwa kwa hatuwa.
Soma Zaidi...Flutter somo la 15: Jinsi ya kuweka icon kwenye App ya flutter
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia icon yaani kuweka icon kwenye App ya flutter.
Soma Zaidi...Flutter somo la 17: Jinsi ya kubadili app icon
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili app icon kwenye app ya Android na iphone kwenye flutter.
Soma Zaidi...Flutter somo la 7: jinsi ya kutumia Widget ya AppBar
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.
Soma Zaidi...Flutter somo la 11: Matumizi ya text widget
Katika Flutter, Text Widget ni kipengele kinachotumiwa kuonyesha maandishi kwenye programu. Kwa kawaida, hutumiwa kama sehemu ya muundo wa UI ya programu za Flutter.
Soma Zaidi...Flutter: somo la 4: Jinsi ya kuandika code za App ya flutter, hatuwa kwa hatuwa
Katika somo hili utakwenda kujifunza sasa jinsi ya kuandika code za app yetu kwenye flutter framework.
Soma Zaidi...