Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia icon yaani kuweka icon kwenye App ya flutter.
Ili kuweza kuweka icon kwneye App ya flutter tutatumia widget ya icon. Na wakati wa uweka icon yenyewe tutatumia icon conatatnt ili kuweka kutumia icon zilizo kwenye flutter. Kila icon ina jina lake.
Mfano icon ya emai huitwa email, icon ya kujumlisha huitwa add na nyinginezo. Sasa chukulia unataka kuweka icon ya email utatumia Icons.email. Unapotaka kutumia icon ya plus itaandika Icons.add na mifano zaidi. Pia unaweza kutumia prperties kama size na color ili kuboresha muonekano wa icon
import 'package:flutter/material.dart';
void main() {
runApp(MyApp());
}
class MyApp extends StatelessWidget {
@override
Widget build(BuildContext context) {
return MaterialApp(
home: Scaffold(
appBar: AppBar(
title: Text('Mfano wa icon'),
centerTitle: true,
backgroundColor: Colors.blue,
),
body: Center(
child: Icon(
Icons.email,
size: 50.0,
color: Colors.blue,
),
),
),
);
}
}
Properties za icon
Katika Flutter, kuna property za kawaida unazoweza kutumia na Icon widget. Hapa kuna baadhi ya mali hizo:
1.icon: Hii ni mali muhimu ambayo inaweka aina ya ikoni inayotumiwa na widget.
2.size: Hii inaruhusu kubadilisha ukubwa wa ikoni.
3.color: Huweka rangi ya ikoni.
4.semanticLabel: Huweka lebo ya kise-mantiki ambayo inaweza kutumika kwa kuwasiliana na watumiaji wasioona.
5.textDirection: Inaruhusu kudhibiti mwelekeo wa maandishi kwa ikoni inayohusika.
import 'package:flutter/material.dart';
void main() {
runApp(MyApp());
}
class MyApp extends StatelessWidget {
@override
Widget build(BuildContext context) {
return MaterialApp(
home: Scaffold(
appBar: AppBar(
title: Text('Icon Widget Example'),
),
body: const Center(
child: Column(
mainAxisAlignment: MainAxisAlignment.center,
children: [
Icon(
Icons.email,
size: 50.0,
color: Colors.blue,
&">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza App yako ya kwanza ya Flutter hatuwa kwa hatuwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kuweka drawer menu kwenye app ya flutter.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu widget ya Image ambayo hutumika kuonyesha picha kwenye App.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili app icon kwenye app ya Android na iphone kwenye flutter.
Soma Zaidi...Somo hili litakufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya ku sign app ya android kwenye flutter
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza kuhsu widget ya column. Widget hii ni moja katika widget zilizo muhimu sana kuzifaham.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza sasa jinsi ya kuandika code za app yetu kwenye flutter framework.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutengeneza faili la apk kwa ajili ya ku share app yako, na faili la aab kwa ajili ya ku publih app yako.
Soma Zaidi...