FLUTTER somo la 21: Jinsi ya kutengeneza faili la apka na faili la aab
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutengeneza faili la apk kwa ajili ya ku share app yako, na faili la aab kwa ajili ya ku publih app yako.
Unapotaa u share app yao na watu wa ajl ya utest ama unataa uwea wenye playstore bas somo hl lmeuandaa hatuwa wa hatuwa jns ya utengeneza ap na aab.
Apk ni nini?
Apk ni kifupisho cha maneno Android Package ama Android Package Kit pia inaweza kutumika Android Application Package. Hivyo hili ni faili ambalo hutumika kwa ajili ya ku install app kwenye device. Unaweza kulitumia faili hili kusambaza app yako kwa marafikiz ako na watu wengine. Ama hata kuliweka kwenye website yako ili kuwezesha watu ku download App yako na ku unstall wao wenyewe.
Jinsi ya kutengeneza apk
Sasa ili uweze kutengeneza apk kwanza utaingia kwenye terminal kisha utaandika command hii flutter build apk angalia pichai hapo chini:-
Hiyo namba moja hapo ndio batani ya terminal na hiyo namba mbili ndio command ya kutengeneza apk. Baada ya hapo itachukuwa muda kutengeenzwa. Baada ya mchakato kukamilika apk utaikuta kwenye folda linaloitwa flutter-apk folder hili linapatikana kwenye build -> app -> outputs -> flutter-apk na jina la faili la faili linaitwa app-release.apk utalichukuwa faili hili na kulishare unapotaka.
Aab ni nini?
Aab ni kifupisho cha maneno Android App Bundle. Hili ni fail ambalo hutumika kwa ajili ya ku upload app yako playstore. Kisha wao ndio watatengeneza apk kwa ajili ya kuwezesha watumiaji waweze ku install app.
Jisni ya kutengeneza aab.
Unapotaka kutengeneza aab file utatumia command hii flutter build appbundle au flutter build aab command hii tauwezesha kutengeneza aab file. Kama ulisha sign bas faili linawa na signature yake automatic. Kama bado rejea somo la kuweka sign kwenye app.
Baada ya kukamilika mchakato huo faili lako utalipata kwenye folda linaloitwa release linalopatikana kwenye build -> app -> outputs -> bundle -> release jina la faili ni app-release.aab angalia picha hiyo hapo juu.
Mwisho:
Huu ni mwisho wa mafunzo ya flutter level 1. Tukutane kwenye level 2 ambapo tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye kutengeneza app mbalimbali za flutter.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 ai web app 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 web hosting 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Flutter: somo la 4: Jinsi ya kuandika code za App ya flutter, hatuwa kwa hatuwa
Katika somo hili utakwenda kujifunza sasa jinsi ya kuandika code za app yetu kwenye flutter framework.
Soma Zaidi...Flutter somo la 11: Matumizi ya text widget
Katika Flutter, Text Widget ni kipengele kinachotumiwa kuonyesha maandishi kwenye programu. Kwa kawaida, hutumiwa kama sehemu ya muundo wa UI ya programu za Flutter.
Soma Zaidi...Flutter: Somo la 3: Mambo muhimu kuhusu App ya flutter
Katika somo hili tutakwend akuyaona baadhi ya maeneo muhimu ya kuanzia kuyajuwa kwa ajili ya course ya flutter kwneye android studio.
Soma Zaidi...Flutter somo la 1: Nini flutter na nini hasa inafanya
Katika somo hili utajifunza historia fupi ya flutter, kazi zake, nini hasa inafanya. pia utajifunza jinsi ya ku install flutter
Soma Zaidi...Flutter somo la 14: Jinsi ya kuweka picha
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu widget ya Image ambayo hutumika kuonyesha picha kwenye App.
Soma Zaidi...Flutter somo la 17: Jinsi ya kubadili app icon
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili app icon kwenye app ya Android na iphone kwenye flutter.
Soma Zaidi...