Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kuweka drawer menu kwenye app ya flutter.
Menu ya drawer hii ni ile ambayo ukibofya ku kama ukurasa unafunguka na unakuwa na menu nyingine. Menu hii inawekwa kwa kutumia widget ya drawer: Drawer()
import 'package:flutter/material.dart';
void main() {
runApp(MyApp());
}
class MyApp extends StatelessWidget {
@override
Widget build(BuildContext context) {
return MaterialApp(
home: MyHomePage(),
);
}
}
class MyHomePage extends StatelessWidget {
@override
Widget build(BuildContext context) {
return Scaffold(
appBar: AppBar(
title: Text('Drawer Menu Example'),
),
body: const Center(
child: Text('Home Page'),
),
drawer: Drawer(
),
);
}
}
Baadhi ya properties za drawer:
Child hii inakuwa na widget kama listview, column, drawer header na title
Background ambayo inaweza kuwa na widget kama color
Elevation hii inaonyesha kivuli shini ya dawer
Shapeborder hii huonyesha umbo la drawer.
DrawerHeader hii huonyesha kichwa cha hiyo drawer
Listview hii husaidia kupangilia menu kwenye drawer katika orodtha. Ndani yake menu unaweza kuziweka kwenye widget ya listtitle
Mfano wa widget kwenye drawer:
import 'package:flutter/material.dart';
void main() {
runApp(MyApp());
}
class MyApp extends StatelessWidget {
@override
Widget build(BuildContext context) {
return MaterialApp(
home: Scaffold(
appBar: AppBar(
title: Text('Drawer Example'),
),
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza App yako ya kwanza ya Flutter hatuwa kwa hatuwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akuyaona baadhi ya maeneo muhimu ya kuanzia kuyajuwa kwa ajili ya course ya flutter kwneye android studio.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza kuhsu widget ya column. Widget hii ni moja katika widget zilizo muhimu sana kuzifaham.
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia batani na kuweka maumbo mbalimbali ya batani.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu widget ya Image ambayo hutumika kuonyesha picha kwenye App.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza historia fupi ya flutter, kazi zake, nini hasa inafanya. pia utajifunza jinsi ya ku install flutter
Soma Zaidi...Somo hili litakufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya ku sign app ya android kwenye flutter
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jisni ya kubadili package name ama app id kwenye Android app na Bundle Identifier kwenye iOS app na taarifa nyinginezo.
Soma Zaidi...