Katika somo hili utakwenda kujifunzajinsi ya kubadilisha, jinala App yaani App name.
Somo hili linaumuhimusana kwani wakati mwingineunapewa code za app ambazo zipo tayari. So itakubidi ujuwe jinsi ya kubadilisha jina, package name na baadhi ya config nyingine ili uweze kutengeneza app yako mwenyewe.
Jinsi ya kubadilisha jina:
Kwa app za android:
Nenda kwenye folder la Android -> app -> src -> main
Nenda kwenye faili linaloitwa AndroidManifest.xml
Funguwa hilo faili kisha tafuta palipo andikwa android:label
Mbele ya hayo maneno utaona jina la app limezungukwa na alama za funga semi yaani “” kwa mfano kwa mimi hapa ipo hivi android:label="mafunzo" sasa ondosha hilo jina uliolikuta kisha weka unalolitaka. Kwa mfano mimi ninaweza Bongoclass kwa hivo itaonekana hivi android:label="Bongoclass"
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jisni ya kubadili package name ama app id kwenye Android app na Bundle Identifier kwenye iOS app na taarifa nyinginezo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya container pia tutajifunza jinsi widget hii inavyoweza kutumika na widget nyingine.
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia batani na kuweka maumbo mbalimbali ya batani.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu widget ya Image ambayo hutumika kuonyesha picha kwenye App.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza historia fupi ya flutter, kazi zake, nini hasa inafanya. pia utajifunza jinsi ya ku install flutter
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza kuhsu widget ya column. Widget hii ni moja katika widget zilizo muhimu sana kuzifaham.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu scaffold widget. Hapa tutakwend kuona properties zake na baadhi ya mifano.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza sasa jinsi ya kuandika code za app yetu kwenye flutter framework.
Soma Zaidi...