Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu row widget. Hii ni widget ambayo ina utofauti na column widget kwa kuwa hii yenyewe inapangilia maudhui kwa safu za mlalo, tofauti na iliyopita inapangilia kwa safu za wima.
Row widget ni moja ya aina ya vitu vilivyowekwa kwenye msingi wa Flutter ambavyo hutoa njia ya kusimamia upangiliaji wa vitu kwa upande mmoja katika mwelekeo wa mstari mmoja. Kwa maneno mengine, Row widget inaruhusu kuweka watoto wake kwa njia ya usawa ndani ya safu moja.
import 'package:flutter/material.dart';
void main() {
runApp(MyApp());
}
class MyApp extends StatelessWidget {
@override
Widget build(BuildContext context) {
return MaterialApp(
home: Scaffold(
appBar: AppBar(
title: Text('Tehama'),
centerTitle: true,
backgroundColor: Colors.blue,
),
body: const Center(
child: Row(
mainAxisAlignment: MainAxisAlignment.center,
children: <Widget>[
Text(
'Text 1 ',
style: TextStyle(color: Colors.red), // Rangi ya kwanza
),
Text(
'Text 2 ',
style: TextStyle(color: Colors.green), // Rangi ya pili
),
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utajifunza historia fupi ya flutter, kazi zake, nini hasa inafanya. pia utajifunza jinsi ya ku install flutter
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya container pia tutajifunza jinsi widget hii inavyoweza kutumika na widget nyingine.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza App yako ya kwanza ya Flutter hatuwa kwa hatuwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia batani na kuweka maumbo mbalimbali ya batani.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza kuhsu widget ya column. Widget hii ni moja katika widget zilizo muhimu sana kuzifaham.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunzajinsi ya kubadilisha, jinala App yaani App name.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.
Soma Zaidi...Somo hili litakufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya ku sign app ya android kwenye flutter
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu widget ya Image ambayo hutumika kuonyesha picha kwenye App.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.
Soma Zaidi...