2.VYAKULA VYENYE VITAMINI C KWA WINGIKwa kuwa tumeshajuwa sasa maana na historia ya vitamini C hapa nitakwenda kukueleza chanzo cha vitamini C na je ni katika vyakula vipi tunapata vitamini C. kwa ufupi wa somo ni kuwa vitamini C unaweza kuvipata kwenye matunda yenye ladha ya uchachu uchachu (citrus) na matunda vyenye rangi ya njano na kwenye mboga za majani


Vyakula vya vitamini c
1.Pera
2.Pilipili
3.Papai
4.Chungwa
5.Limao/ndimu
6.Zabibu
7.Nanasi
8.Pensheni
9.Kabichi
10.Embe
11.Nyanya
12.Tunguja
13.Palachichi
14.Kitunguu
15.Karoti
16.Epo


Tofauti na mboga za majani na matunda ya uchachu na yenye rangi ya njano pia tunaweza kupata vitamini C kwa kula maini, maziwa na mayai. Pia unaweza kupata vitamini C kwa kumezaa vidonge vya vitamini C.