MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGI

MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGI

Matunda yenye vitamni C kwa wingi ni machungwa, maembe, ndimu na limao, endelea kusoma

MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGI


MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGI



Vitamini C ni katika vitamini ambavyo wili unavihitajia kwa wingi kwa lengo la kuboresha mfumo wa kinga mwilini. Tunaweza kupata vitamini hivi sana kutoka kwenye matunda. Katika makala hii nitakwenda kukutajia matunda aina 7 ambayo yana vitamini c kwa wingi sana.


Aina ya matunda yenye vitamini C
1.Embe, embe linafahamika kwa utamu wake na uchachu wake. Vitamini C vinapatikana kwa wingi zaidi kwenye matunda yenye uchachu.


2.Mapera; tunda hili limeenea maeneo mengi, kula pera likiwa limewiva ama likiwa limekomaa na tayari kulila.


3.Papai, mapapai ni katika matunda mabyo yana rangi ya njano. Matunda haya yana sifa ya kuwa na vitamini hivi kwa wingi


4.Karoti, kitaalamu karoti si tunda. Lakini nimependa kuliweka kwenye orodha hii kwa sababu watu hutafuna karoti na kuifanya kama tunda.


5.Limao na ndimu, hapa ndipo penyewe kwa vitamini C. limao na ndimu ndio matunda yenye uchachu kwa wingi na hivyo kukusanya vitamini C.


6.Nanasi, tunda hili pia ni katika matunda yenye rangi ya njano. Sifa hii hufanya tunda hili liwe miongoni mwa vyanzo vikuu vya vitamini C.


7.Chungwa, machungwa yana faida nyingi mwilini ikiwemo kutupatia vitamini C kwa wingi.


8.Nyanya, pensheni, palachichi, tufaha na pilipili haya ni katika matunda mengine yenye vitamini C kwa wingi kabisa.



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 6677

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 ai web app     👉4 web hosting     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Faida za ukwaju (tamarind)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za ukwaju

Soma Zaidi...
Vijuwe vyakula vya madini na kazi za madini mwilini

Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini

Soma Zaidi...
Faida za nazi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi

Soma Zaidi...
Faida za kula Tufaha (epo)

Tufaha ni katika matunda adimu na matamu, je unazijuwa faida zake kkiafya?

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple

Soma Zaidi...