Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza.
👉 Swali:
Eti mtu akipaliwa na asali anakufa?
🦠Jibu
🦈Itategemea na imempalia kwa muda gani. Ndio anaweza kufa. Na hii sio kwa asali tu bali hata kwa maji au kitu kingine.
ðŸ”Endapo kuoaliwa huku kutamzuia kupumua vyema ama kushindwa kabisa kuoumua. Hali hii itapelekea ubongo kukosa hewa na hivyo kufariki.
ðŸ†endapo itazidi dakika 3 afya yake itakuwa hatarini endapo itafika dakika 5 huwenda akapoteza faham endapo itafika dakika 10 huwenda akawa katika coma au akawa na clinical death (kifo)
Haya yote yatatokea endapo kupaliwa kutakuwa kunamzuia kupumua na sio asali tu bali ni kupaliwa kwa aina yoyote
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula senene, panzi na kumbikumbi
Soma Zaidi...Matunda yenye vitamni C kwa wingi ni machungwa, maembe, ndimu na limao, endelea kusoma
Soma Zaidi...