UPUNGUFU WA PROTINI NA DALILI ZAKE


Kama tulizoona faida za protini ndani ya miili yetu basi pia itambulike kuwa kuna hasara kubwa za kiafya endapo mtu atashindwa kupata protini za kutosheleza ndani ya miili yetu. Hapo chini nitakuorodheshea tu baadhi ya madhara ya kukosa protini ya kutosha:


1.Kudumaa na ukuaji hafifu wa mtoto
2.Kypata kiriba tumbo
3.Kupata kwashiakoo
4.Misuli na nyama kustokijazia vya kutosha
5.Kukosa nguvu ya kutoka kufanya kazi
6.Kukonda na kudhoofu


ULAJI WA PROTINI KUPITILIZA
Kwa upande wa pili ulaji wa protini nje ya kiwango unaweza kuleta athari hasi katika afya ya mlaji. Zifuatazo ni madhara ya kula vyakula vya protini kupitiliza:-


1.Kuongezeka kwa uzito mwilini
2.Kupata tatizo la kukosa chookuharisha
3.Kupungua kwa maji mwilini
4.Kupata matatizo ya moyo
5.Kuathirika kwa fogo
6.Hatari ya kutengengezwa kwa seli za saratani mwilini