Vinywaji salama kwa mwenye kisukari

Vinywaji salama kwa mwenye kisukari

Vijuwe vinywaji salama kwa mgonjwa wa kisukari

Vinywaji salama kwa mwenye kisukari

Vjinywaji salama kwa mwenye kisukari ni kama:-


  1. Maji
  2. Chai isiyo na sukari
  3. Kahawa isiyowekewa sukari ama kunywewa na vitu vitamu kama kashata
  4. Juisi ya tomato (nyanya) ama tango, pia isiwe kwa wingi
  5. Vinywaji vya wanamichezo ambavyo havikuwekewa sukari
  6. Baadhi ya vinywaji vingine visivyo na wanga
  7. Juisi ya mbogamboga


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2059

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 web hosting     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Faida za kula parachichi

Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya

Soma Zaidi...
Matunda yenye vitamin C kwa wingi

Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula korosho

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula korosho

Soma Zaidi...
Faida za vyakula vya asili

Posti hii inahusu zaidi faida za matumizi ya vyakula vya asili, kama tunavyojua kwamba mababu na mabibi zetu walitumia vyakula vya asili wakaishi miaka mingi kweli.

Soma Zaidi...