Faida za vyakula vya asili

Posti hii inahusu zaidi faida za matumizi ya vyakula vya asili, kama tunavyojua kwamba mababu na mabibi zetu walitumia vyakula vya asili wakaishi miaka mingi kweli.

Faida za vyakula vya asili.

1. Sababu ya kwanza ni kuupatia mwili nguvu.

Kwa sababu zamani mabibi na mababu walizeeka na bado walikuwa na nguvu.

 

2. Usaidia akina mama kuwa na hisia za karibu.

Kwa sababu zamani akina mama waliweza kuwatosheleza waume zao kwa sababu ya kuwepo kwa hisia za karibu.

 

3. Usaidia kuwepo kwa uzazi wa kutosha.

Tukumbuke mabibi na mababu walikuwa na uzazi wa kutosha kwa kuwa na watoto wengi.

 

4. Usaidia kupunguza Magonjwa.

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/08/03/Wednesday - 11:55:29 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1200


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-