Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai.
Faida za ovari kwenye mwili wa mwanamke
1. Husaidia kuzalisha mayai
Kutokana na kuwepo kwa ovari kwenye via vya uzazi mayai huweza kutengenezwa.
2. Husaidia kuzalisha homoni.
ovari husaidia kuzalisha homoni ambazo kwa kitaalamu huitwa (estrogen na progesterone)
3. Husaidia kuongeza shughuli kwa ujumla kwenye mwili wa binadamu hasa kwenye via vya uzazi ambapo ni pamoja na kuhakikisha mimba imetungwa na kutunzwa.
4. Husaidia kutunza mayai kusudi yaweze kukomaa
Kwenye ovari Kuna kasha ambalo huitwa follicle hutunza mayai na kuhakikisha kuwa yamekomaa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Maumivu ya shingo ni malalamiko ya kawaida. Misuli ya shingo inaweza kuchujwa kutokana na mkao mbaya - iwe inaegemea kwenye kompyuta yako kazini au kuwinda benchi yako ya kazi nyumbani.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekunywa sumu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kushuka
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.
Soma Zaidi...Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo
Soma Zaidi...Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...