Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa vijana
UTARATIBU WA LISHE KWA VIJANAVijanaVijana wanatakiwa wale sana vyakula vya kuupa mwili nguvu yaani vyakula vya wanga. Pia wale kwa wingi vyakula vyenye protini na madini ya chumvuchumvu kama kashiam (calcium), chuma na phosphorous.Vijana wa kike wanatakiwa wale zaidi vyakula vyenye madini ya chuma kwa wingi ili waweze kuwa na damu ya kutosha hususan wakati wa vipindi vyao.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa mate mdomoni, mate ni majimaji ambayo hukaa mdomoni na husaidia katika kazi mbalimbali mdomoni.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia au kujikinga na kifua kikuu, hizi ni njia ambazo utumika ili kujikinga na kifua kikuu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi matumizi ya vidonge vya ARV, ni vidonge vinavyotumiwa na wagonjwa waliopata ugonjwa wa Ukimwi
Soma Zaidi...Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...