Mabadiliko yanayotokea wakati wa kubarehe kwa wsichana
Post hii inahusu zaidi mabadiliko katika umri wa kubarehe kwa wsichana, ni kipindi ambacho watoto huelekea ujana, utokea Kati ya miaka kuanzia Kumi na kuendelea.
Mabadiliko yanayotokea wakati wa kubarehe kwa kwa wasichana.
1. Sauti kubadilika na kuwa nyembamba, kipindi hiki sauti za wasichana wengi huwa tofauti hasa huwa nyembamba.
2.wasichana huanza kuingia kwenye siku zao za mwezi, kipindi hiki huwaandaa kuwa wamama na via vya uzazi huanza kukomaa
3. Wasichana huanza kuwa na mvuto kwa wavulana, ni kipindi ambacho urafiki wa wasichana na wavulana huanza.
4.wasichana wengi huota nywele kwenye sehemu zao za Siri na kwapani, ambazo huashilia ukomavu
5. Wasichana huanza kujiamini na kuamini maamuzi Yao, kipindi hiki ugomvi hutokea Kati ya mama na watoto wao wa kike
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Njia za kujikinga na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Mambo yanayoathiri Uponyaji was jeraha.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kuadhiri Uponyaji wa jeraha.jeraha huleta maumivu makali sana, vilevile Uvimbe, kutoa usaha. Pia jeraha hutofautiana katika kupona kwa mtu mzima na Mtoto.
Soma Zaidi...Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Faida za kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Namna ya kuchoma chanjo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa.
Soma Zaidi...Sababu Zinazopelekea maumivu ya shingo.
Maumivu ya shingo ni malalamiko ya kawaida. Misuli ya shingo inaweza kuchujwa kutokana na mkao mbaya - iwe inaegemea kwenye kompyuta yako kazini au kuwinda benchi yako ya kazi nyumbani.
Soma Zaidi...